MADHARA YA UZITO ULIO PITILIZA (OBESITY)

MADHARA YA UZITO ULIO PITILIZA (OBESITY) - Tanzania
  • MADHARA YA UZITO ULIO PITILIZA (OBESITY) - Tanzania
Description :

OBESITY NI NINI

Ni tatizo ambalo husababishwa na kuwepo kwa mafuta mengi mwili.

Tatizo hili la kuwa na mafuta mengi huweza kupelekea kupata magonjwa mbalimbali ndani a mwili kama;

✨MAGONJWA YA MOYO

✨KUPUNGUA KWA NGUVU ZA KIUME

✨INI KUFELI

✨MATATIZO YA UPUMUAJI

✨UGUMBA KWA WANAWAKE

N.K

Lakini kuondoa ugonjwa huu lazima ufuate kanuni za afya.

Lazima utambue KISABABISHI cha ugonjwa huu unaokusumbua.

Watu wenye udhaifu wa Tezi ya THYROID hasa tatizo liitwalo HYPOTHYROIDISM huweza kupata mwili mkubwa na kushindwa kuchakata vizuri vyakula vyenye mafuta na Wanga ambavyo tunapata kupitia mlo na hivyo huishia kutengeneza mafuta mengi mwilini.

Kama umetumia program za diet mbalimbali bila mafanikio na kushindwa kupungua tambua kiini cha hilo tatizo lako(UNENE) ni udhaifu wa Tezi ya THYROID.

Kufahamu zaidi namna ya kupunguza uzito ulio kithiri wasiliana nasi

Clinic Zetu zinapatikana Nchi nzima


Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data