MADHARA YA KUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO ZA KISASA na

MADHARA YA KUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO ZA KISASA na - Tanzania
  • MADHARA YA KUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO ZA KISASA na - Tanzania
Description :


FAHAMU
MADHARA YA KUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO ZA KISASA

KIUKWELI ❕KUNA MADHARA MENGI YANAYOTOKANA NA NJIA YA UZAZI WA MPANGO MWANAMKE ANAWEZA AKAPATA MADHARA MAKUBWA YANAYOWEZA KUJA KUMSABABISHIA MAMBO MAKUBWA KAMA KUTOSHIKA UJAUZITO KABISA AU KUZAA KWA OPARESHENI.

NA PIA NYONGA HUWEZA KUGEUKA NA KUWA ZA KIUME. KITENDO CHA DAMU YA HEDHI KUBAKI NDANI YA TUMBO HUWEZA KUSABABISHA UCHAFU AMBAO UNAWEZA UKASABABISHA UVIMBE TUMBONI.

zamani wazee wetu walikuwa wakitumia njia za asili ambazo ziliwapa matokeo mazur bila madhara yoyote.

Kuna njia nyingi za kisasa za uzazi wa mpango zenye madhara makubwa kwa mtumiaji. Zifuatazo ni baadhi na madhara yake.

MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA
(1) Usumbufu hedhi
(2) Kuumwa kichwa mara mara (3) Kizungu zungu
(4) Kichefu chefu
(5) Kuongezeka uzito usiokuwa na faida.
6.Minyama uzembe na ukubwa wa nyama za tumbo

MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA
(1) Huathiri fuko la uzazi kwa ndani
(2) Kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga
(3) Kuumwa kichwa mara mara (4) Kupata kichefu chefu
(5) Kutopata hedhi kwa baadhi ya wanawake
(6) Kubadilisha mwenendo wa dam
(7) Kuliathiri ini kidogo kidogo
(8) Kupata kisukari
(9) Kupata ugonjwa wa moyo
(10) Kupooza upande mmoja wa mwili.

MADHARA YA KITANZI (1) utokaji ovyo wa damu (2)Kutoboka fuko la uzazi (3) Kuongezeka kwa upana wa uke na kuifungua lupa na kufungwa kwa uzazi.

MADHARA YA KIJITI (1) Husababisha kansa (2) Huchanganyikiwa akili Akili (3) Shinikizo la damu (4) Maumivu makali wakat wa tendo la ndoa.

ILI KUJITOA KWENYE TATIZO HILI YAKUPASA KUTAFUTA MTAALAMU AMBAYE ANAWEZA KUKUTIBU KUTOKANA NA NA UKUBWA WA TATIZO LAKO .

Kwanza acha kabisa matumizi ya vitu hvyo

Lakini ↩️
Ukiweza kutumia kalenda ni bora zaidi Ewe mwanamke ili kuepuka madhara yatokanayo na matumizi ya dawa za uzazi wa mpango wa kemikali

Kwa mfano;
1. Kama unaanza kuingia katika hedhi tarehe 1 Juni (na una mzunguko wa hedhi wa siku 28), basi kuna uwezekano mkubwa utaingia kwenye kipindi kipya cha hedhi tarehe 29 Juni. Kwa hiyo yai lako litapevuka siku 14 kabla kwenye tarehe 15 Juni. Kwa hiyo, kuna uwezekano mkubwa wa kwako wewe kupata mimba kama unafanya mapenzi karibu na tarehe hii, kuanzia tarehe 14 Juni hadi 16 Juni. Kwa hiyo kuepukana na kupata mimba, usifanye mapenzi kati ya tarehe hizo. Lakini lazima ukumbuke kuwa mbegu za kiume zinaweza kuishi ndani ya mwili wa mwanamke kwa siku 7, kwa hiyo ili kuwa na uhakika Zaidi ya kuepukana na kupata mimba, una takiwa kutokufanya mapenzi kuanzia tarehe 8 hadi 16 Juni.

2. Katika mfano mwingine, kama unaanza kuingia katika hedhi tarehe 13 Juni (na una mzunguko wa hedhi wa siku 28), basi kuna uwezekano mkubwa utaingia kwenye kipindi kipya cha hedhi tarehe 11 Julai. Kwa hiyo yai lako litapevuka siku 14 kabla kwenye tarehe 28 Juni. Kwa hiyo, kuna uwezekano mkubwa wa kwako wewe kupata mimba kama unafanya mapenzi kati ya tarehe 27 Juni na 29 Juni. Ili kuepukana na kupata mimba, usifanye mapenzi kati ya tarehe hizo. Kwa usalama zaidi, usifanye mapenzi kuanzia 21 hadi 29 Juni.

3. Katika mfano mwingine, kama baada ya kuandaa kalenda kuonesha mzunguko wako wa hedhi wa miezi 3 hadi 6 iliyopita, unagundua kuwa mzunguko wako ni wa siku 33 badala ya siku 28, basi kifuatacho ni kweli: kama unaanza kuingia katika hedhi tarehe 1 Juni basi kuna uwezekano mkubwa utaingia kwenye kipindi kipya cha hedhi tarehe 4 Julai. Kwa hiyo yai lako litapevuka kwenye tarehe 20 Juni (Siku 14 kabla ya tarehe 4 Julai). Kwa hiyo, kuna uwezekano mkubwa wa kwako wewe kupata mimba kama unafanya mapenzi kati ya tarehe 19 na 21 Juni. Ili kuepukana na kupata mimba, usifanye mapenzi kati ya tarehe hizo. Kwa usalama zaidi, usifanye mapenzi kuanzia 13 hadi 21 June

Kwa ushauri na TIBA juu ya changamoto ya Uzazi kama; Homonal Imbalance, kushindwa kunasa mimba tena , Ugumba na PID UTI na Fangas tupigie kukupa maelezo zaidi
Tunapatikana Mikoa mbalimbali nchini

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data