LEO TUONGELEE UGONJWA WA PRESHA

LEO TUONGELEE UGONJWA WA PRESHA - Tanzania
LEO TUONGELEE UGONJWA WA PRESHA - Tanzania
  • LEO TUONGELEE UGONJWA WA PRESHA - Tanzania
  • LEO TUONGELEE UGONJWA WA PRESHA - Tanzania
Description :

Zaid ya watu billion moja dunian wanakabiliwa na ugonjwa huu hatari wa presha,,Huu ni ugonjwa ambao hupelekea madhara makubwa kwa binadamu ikiwemo
-Mshtuko wa Moyo(heart attack)
-Kiharusi(stroke)
-kupanuka kwa moyo na hatimae kufeli na Mengineyo

Madhara ya presha ni makubwa kwan hupelekea mtu kuaga dunia

Kuna njia mbalimbali za kudhibiti presha au shinikizo la damu
-Punguza msongo wa mawazo,unapokua na msongo wa mawazo mwili hutoa adrenaline cortisol homon ambayo hufanya mishipa ya damu kusinyaa na kufanya damu kusafiri kwa kasi kubwa hatimae hupelekea mtu kupata presha
-Mazoez ,tenga mda wa dakika 30 kwa siku kwa ajili ya mazoez ambayo husaidia kusafisha mfumo wa damu ili kuweka sawa presha yako
-Punguza uzito, Uzito mkubwa ni chanzo cha magonjwa mengi ya moyo
-Dawa/virutubisho asili venye ubora wa hali ya juu na vilivyothibitishwa na mamlaka husika ambavyo vinaondoa mafuta kweny mishipa ya damu,,,,huweka sawa kiwango cha presha,,,,huzuia damu isigande,,,husaidia kubalance kiwango cha damu inayokwenda kweny moyo

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi,ushauri,na namna ya kupata ivo virutubisho.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data