Transaction Typesell
Area600 m2
Description :
⚫Bei yetu ni ya offer yaani 5,000/SQM.
⚫Viwanja hivi vipo karibu na Airport mpya inayojengwa ya Msalato.
⚫Umbali kutoka city centre mpaka vilipo viwanja ni Kilometres 15.
⚫Mradi huu wa viwanja upo pembezoni mwa Arusha road.
⚫Viwanja vimeshapimwa tayari na utapata hati.
⚫Ni viwanja vinavyofaa kwa makazi na biashara ndogo ndogo.
⚫Site tunatembelea kila siku.
⚫ Miundombinu ya maji,umeme na Barabara tayar imeshafika site.
⚫Ofisi zetu Kwa Dar es Salaam zipo nyuma ya Ubungo plaza na Kwa Dodoma tupo Capital City Mall, KARIBU SANA.