Area2000 m2
Viwanja vikubwa vinauzwa maeneo ya Goba sqm 2000 imepimwa tayari bado hati kutoka nyingine ipo mbweni usalama sqm1800 kikubwa ni Beach plot hii tayari ina hati Bei milioni75 inauzwa,kiwanja kingine kikubwa kipo tegeta mivumoni sqm 2000 nacho milioni 70,kiwanja kingine kikubwa kipo kigamboni Geza ulole upande wa beach Sqm4000 kina hati kabisa kinauzwa milioni 50 tu.Kiwanja kingine kipo bahari beach sqm2400 kina hati tayari bei million120 tu.pia tunazo Beach plot hekari moja maeneo ya kimbiji kigamboni sqm 4000 zinauzwa milioni 130 zina hati.pia tuna viwanja vidogo vya bei nafuu viwanja vyote vipo karibu na barabara kuu. Kwa mahitaji yako kupata viwanja vya uhakika tupigie simu.