Transaction Typesell
Area2643 m2
Description :
KIWANJA KINAUZWA
KIPO-DAR ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBAGALA
ENEO - CHAMANZI
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃
UMBALI DK 4 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
__________
NYUMA YA SHULE YA SEKONDARI YA CHAMANZI
_______
UKUBWA WAKE KIMEPIMWA #SQM_2643
_____
NYARAKA ZA UMILIKI KINA #HATI SAFI
_____________
MIUNDOMBINU YAKE;-
#Barabara iko vizuri inapitika nyakati zote
#Maji x #Umeme vyote vipo ni kununua kujenga na kuvivuta tuu