Transaction Typesell
Area1003 m2
Description :
-Vipo 6km kutoka morogoro road ( mzani wa Vigwaza)
-Vipo jirani na bandari kavu ya kwala
-Ukubwa ni kuanzia sqm 650 hadi 1250
-mfumo wa malipo ni cash au kwa mkopo muda wa miezi 6 hadi 12
-Huduma shule ya Msingi-Mnindi, maji na umeme
-Gari unapanda za mbez to Moro unashuka mzani wa vigwaza... au gari za mbezi to Chalinze