Transaction Typesell
Area266 m2
Description :
-Viwanja vimepimwa tayari kwa Hati miliki
-Malipo yetu ni kwa awamu mpaka miezi 12
-Kwenda kuona ni kila siku wasiliana nasi
-Viwanja vipo 1.5 km kutoka lami
-Huduma zote muhimu zipo site
-Wahi sasa viwanja ni vizuri kwa makazi na biasharaa