Transaction Typesell
Area503 m2
Description :
---Viwanja vipo mbutu, 19km kutoka ferry
---Viwanja vimepimwa na vina Hati miliki
---Viwanja ni vizuri kwa makazi, na wapo watu tayari
----Miundombinu ni mizuri na inapitika wakati wote
---Wasiliana nasi tukupatie kiwanja