KWANINI UTOKWE NA UCHAFU MWINGI UKENI.

KWANINI UTOKWE NA UCHAFU MWINGI UKENI. - Tanzania
  • KWANINI UTOKWE NA UCHAFU MWINGI UKENI. - Tanzania
Description :UKE MCHAFU:Ni uke ambao hutoa harufu na hutoa uchafu kama maji maji ya njano kama maziwa ya mtindi yeny harufu mbaya kama shombo la samaki

VISABABISHI VYA UKE MCHAFU
-matumizi ya sabuni za antbiotics kujisafishia uke km protex,medicatede soap, n.k
-Kujiingiza vidole ukeni mara kwa mara
-Fangasi sugu ukeni
-U.T.I sugu
-Kutojisafisha na kujikausha vizuri ukeni
-Magonjwaa ya zinaa kama kaswende,gonorea n.k
-Hormone imbalance
-Unywaji na ulaji wa vyakula vyeny sukari kwa wingi mara kwa mara
-Ulaji wa vyakula vyeny mafuta mara kwa mara

DALILI ZA UKE MCHAFU
-kutokwa na uchafu ukeni usio wa kawaida
-Kutokwa na uchafu weny harufu mbaya
-Kuwashwa sehem za siri ndan ya uke
-Maumivu sehem za siri wakat wa kukojoa
-Maumivu makali chini ya kitovu
-Kutokwa na uchafu ulio changanyikana na damu
-Kutokwa na maji maji ya njano kama mtindi yeny harufu mbaya kama shombo la samaki

Hivyo Wenda na ww NI mmoja wa tatizo hili .Tungekushari ujaribu dawa tulizonazo ambazo simewasaidia wengi na Leo wapo safi kabisa.
Vilevile tunatoa ushauri Bure Kama inatatizo lolote uzazi karibu tutakwmbia Nini Cha kufanya ahsant.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data