KWANINI UGUMBA UMESHIKA KASI SAANA KWA WANAWAKE WA KISASA.

KWANINI UGUMBA UMESHIKA KASI SAANA KWA WANAWAKE WA KISASA. - Tanzania
  • KWANINI UGUMBA UMESHIKA KASI SAANA KWA WANAWAKE WA KISASA. - Tanzania
Description :


UGUMBA ; Ni ile hali ya mwanamke/mwanaume kupoteza uwezo wa kubeba mimba/kutungisha mimba.

AINA ZA UGUMBA
Kuna aina mbili za ugumba nazo ni ;
1 .PRIMARY INFERTILITY
Hii ni aina ya kwanza ya ugumba inahusisha watu(mwanamke/mwanaume) ambao hawakuwahi kupahatika kupata mtoto katka maisha yao

2. SECOND INFERTILITY
Hii ni aina ya pili ya ugumba ambayo inahusisha mwanaume/mwanamke aliwahi kuzaa/kuzalisha mara moja maishani mwao ila hawanikiwi kupata mwingine

VISASABABISHI/VICHOCHEZI VYA UGUMBA
_Utoaji mimba
_Tatizo la HORMONES IMBALANCE
_Matumizi ya njia za uzazi wa mpango sindano,vidonge,njiti,kitanzi n.k
_Kuugua ugonjwa wa U.T.I,fangasi ukeni kwa muda mrefu
_Kulegea kwa shingo ya kizazi
_Uvimbe kweny kizazi
_Vifuko vya mayai kushindwa kutoa mayai
_kuziba kwa mirija ya uzazi
_kutokwa na uchafu uken kwa muda mrefu
_kusumbuliwa na maumivu ya tumbo chini ya kitovu upande mmoja kulia/kushoto
_magonjwa ya zinaa kama kisonono,gono,PID n.k
_kuwa na upungufu wa mbegu za kiume
_kuziba kwa mirija ya kupitishia manii

_kuwa na mbegu chache /dhaifu

DALILI ZA UGUMBA
_Kuto shika mimba hata kweny siku za hatari
_siku za hedhi kuto kuwa na mpangilio maalum
_kupata maumivu makali ya tumbo chini ya kitovu upande mmoja kulia/kushoto
_kupata maumivu makali wakati wa tendo
_kupoteza hamu ya tendo la ndoa
_Mwanaume kupoteza uwezo wa kushiriki tendo la ndoa zaid ya mara moja
_mwanaume uume kushindwa kusimama/kuwahi kusinyaa
_mwanaume kufika kileleni mapema
_kukosa hamu ya tendo la ndoa na kuogopa kutengeneza mauhusiano .

Tunatoa tiba na ushauri Bure kabisa na pia tunazo dawa ambazo zimewasaidia wengi na Leo hii wanawatoto na wanaitwa mama kamili.Huvyo na ww Kama huatajaribu dawa hizi na wakati huo unasumbuliwa na tatizo hilo utakuwa umeidhurumu nafsi yako kiukweli karibu saana.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data