KWANINI TAKWIMU ZA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LIMEONGEZEKA MWAKA HUU 2022 KWA WANAWAKE WENGI?

KWANINI TAKWIMU ZA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LIMEONGEZEKA MWAKA HUU 2022 KWA WANAWAKE WENGI? - Tanzania
  • KWANINI TAKWIMU ZA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LIMEONGEZEKA MWAKA HUU 2022 KWA WANAWAKE WENGI? - Tanzania
Description :

Hellow ,habari yako? Ivi umejaribu kujiuliza kwanini kadli miaka inavyokwenda takwimu za wanawake kulalamika kupata maumivu wakati wa kufanya mapenzi zinaongezeka hasa kipindi hiki cha kizazi cha maendeleo ya sayansi na teknolojia ,Tumepokea kesi na maswali mengi kwa wanawake tofauti tofauti kwamba maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa ? Na takwimu zinaonyesha kati ya wanawake 100 basi wanawake 88 mpka 92 wanasbuliwa na tatizo hili sasa Wataalamu wamechnguza na kujua chanzo chake .Je na wewe ungependa kujua vyanzo vya tatizo hilo ? Na je hatua gani uchukue pindi unapokutana na changoto hii ,Nipende kukusihi usichoke kusoma mpka mwisho make ujumbe huu unaweza kuwa suruhisho lako hivyo soma mpka mwisho👇👇🙏

🌷Ni kawaida kwa wanawake kuhisi maumivu wakati wa kujamiiana. Katika matukio mengi hali kama hizo, hutokana na mwanamke kutolainika sawasawa, hali hii inaweza kutatuliwa kwa urahisi kwa kuongeza muda wa kumchezea (foreplay) au kutumia vilainishi vya ziada. Hata hivyo, iwapo maumivu hayakuweza kupungua, hizi hapa ni baadhi ya sababu, ambazo husababisha maumivu wakati wa tendo la ndoa:


🌷Pia chanzo kingine ni Kukakamaa kwa misuli ya uke (Vaginismus): hali hii inasababishwa na mkazo katika misuli ya uke inayotakana na hofu ya maumivu au majeraha.

🌷Matatizo ya shingo ya kizazi: Wakati mwingine uume unaweza kuingia ndani zaidi hivyo kugusa shingo ya kizazi. Iwapo mwanamke ana maambukizi huisi maumivu mara shingo ya kizazi inapogusana na uume.

🌷Matatizo katika mfuko wa uzazi: Matatizo kama fibroids yanaweza pia kuwa sababu ya maumivu wakati wa ngono.

🌷Maambukizi ya uke: aina yoyote ya maambukizi ya uke kama vile maambukizi ya fangasi inaweza kusababisha maumivu wakati wa kujamiiana.

🌷Kuumia uke: majeraha kutokana na sababu kadhaa mfano kuchanika wakati wa kujifungua au kuongeza njia katika msamba wakati wa kujifungua.

🌷Endometriosis: Hii ni hali ambayo inasababisha tishu za mji wa mimba kukua nje ya mfuko wa uzazi, na hivyo kuchochea maumivu wakati wa kukutana kimwili.

🌷Maambukizi kwenye funga nyonga(PID): Viungo kwenye nyonga vinaweza kupata maambukizi hivyo kusababisha maumivu wakati wa ngono.

🌷Matatizo ya ovari: Matatizo haya ni pamoja na uvimbe kwenye mfuko wa mayai (ovarian cyst)

🌷Wengine huwa kwa kuwa Wanakuwa waliokomaa siku za hedhi(Menapause): Wakati wanapokuwa wamekoma siku zao maumbile yao yanasinyaa na kuwa kavu, hivyo kuchochea maumivu wakati wa tendo la ndoa

🌷Magonjwa ya zinaa: magonjwa ya zinaa kama malengelenge (herpes), masundosundo n.k, yanaweza kusababisha maumivu wakati wa ngono.kwahyo tatizo hili limekuwa sugu na ndo maana tumechukua jukumu la kuelimisha wanawake wote waliopo kwenye ndoa na wote wasio kwenye ndoa na wanaokaribia pamoja na wenza wao ,pia kama ungependa kupata elimu bure kwa njia ya whatsap comment hapo chini nikuone ili nikupe mawasiliano yetu uingie kwenye account maalum kwani sio kila mtu angependa ndo maana hatujaweka mawasiliano yetu moja kwa moja ahsante saana na karibu saana🙏🙏🌷🌷

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data