KUZIDI KWA URIC ACID KWENYE DAMU

KUZIDI KWA URIC ACID KWENYE DAMU - Tanzania
  • KUZIDI KWA URIC ACID KWENYE DAMU - Tanzania
Description :

TATIZO LA URIC ACID KUZIDI KIASI KWENYE DAMU*

Uric asidi hutokea wapi?*

Uric asidi hutengenezwa kwenye damu kutokana na kuvunjwavunjwa kwa kiungo kimojawapo kinachotengeneza vinasaba kiitwacho (purine )ambacho hupatikana kwenye vyakula na pia huzalishwa mwilini. Baada ya kuzalishwa uric asidi husafilishwa kwa njia ya damu na kuelekea kwenye( figo )kwa ajili ya kutolewa kwenye mkojo kwa kiasi kikubwa na kuacha kiasi kidogo kwenye damu ambacho hakina madhara.*

*Vihatarishi ni vya kupanda kwa uric aside kwenye damu na hatari ya kupata tatizo la gauti ni*
*🍺Kunywa pombe kupita kiasi (bia na pombe jamii ya spiriti)*
🍖Kula vyakula vyenyenyama, au nyama kwa wingi na viumbe wa baharini, uyoga, maharage makavu, kunde, ini na vingine*
🥢Matumizi ya dawa za kupunguza maji mwilini*
💊Dawa jamii ya beta blocker*
💊Dawa jamii ya ACE na ARB(isipokuwa lorsatan)*
*🖍️Presha kuwa juu(shinikizo la damu* *lililopitiliza)*
*🖍️Matumizi ya dawa za kushusha kinga za mwili*
*Visababishi vya kupanda kwa uric aside kwenye damu kutokana na kuongezeka kwa uzalishaji wa (purine) na kemikali ya urate ambavyo vimegawanyika makundi mbalimbali ikiwa pamoja na*
🖍️Pombe ya ethanol*
*🖍️Kula vyakula vyenye purine kwa wing kama nyama nyekundu*
*🖍️Upungufu wa vitamin B12*
*🖍️Utumiaji wa vitamin B3*
*🖍️Madawa ya kutibu saratani (yanayo uwa seli.

Madhara
Itaendelea.....

Wasiliana nasi kwa Ushauri na TIBA.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data