Aloevera gel
-ni kinywaji bora cha afya chenye aloe vera nyingi,( 97%).
kinywaji hiki siyo dawa bali ni chakula chenye utajiri wa virutubisho (75), vitamini (14) na madini (20)mbalimbali.
faida zake kwa ajiri ya afya yako
- kuondoa sumu mwilini zitokanazo na hewa chafu, vumbi, vyakula vilivyolimwa na mbolea na dawa zenye kemikali, sumu, madawa, vyakula, pombe na vileo, n.k
- kuepusha magonjwa na kuua vijidudu kama virusi, bacteria na fangasi n.k
- kusafisha utumbo mkubwa wa chakula na:
- kuondoa mafuta yanayoganda
- kuongeza kinga mwilini, n.k
ni products asilia na salama kabisa kwa mtumiaji, hazina madhara yoyote, zimethibitishwa na mashirika makubwa ya afya na chakula duniani.
Kusafisha Mwili
Description :
This listing was not posted by a representative of Jumia. Jumia cannot guarantee the origin of the product / service.