KUNYWA MAJI AHSUBUHI KABLA YA KULA KUNA FAIDA GANI?

KUNYWA MAJI AHSUBUHI KABLA YA KULA KUNA FAIDA GANI? - Tanzania
  • KUNYWA MAJI AHSUBUHI KABLA YA KULA KUNA FAIDA GANI? - Tanzania
Description :

KUNAFAIDA GANI KUNYWA MAJI AHSUBUHI KABLA YA KULA CHOCHOTE?
Ivi ulishawahi kujiuliza au kufahamu kwamba ukinywa maji ahasubuhi utapata faida gani? Basi leo nimekuletea ujumbe huu muhimu saana fahamu faida au jinsi ukinywa maji ahsubuhi kabla ya kula chochote utapata faida gani . endelea 👇👇
🌷Unywaji wa maji kabla ya kula chochote ahsubuhi husaidia kuondoa sumu mwilini.Kivipi?
Ni kwamba Unywaji wa maji mengi husaidia kuondoa sumu mwilini kwani huwezesha viungo kama vile figo kufanya kazi yake vyema.

Unapokunywa maji kabla ya kula chochote asubuhi unauwezesha mwili wako pia kujenga misuli na kuzalisha seli mpya.

🌷Pia Husaidia kupunguza uzani ,Unapoamka na kuanza kutumia vinywaji kama vile soda na juisi, vinakuweka katika hatari kwa sababu vitachangia sana kuongeza uzito wako wa mwili.

Hivyo basi, ni vyema kunywa maji zaidi kuliko vinywaji vingine.

🌷 Vilevile Huondoa kiungulia kati ya changamoto inayowasumbua mamilioni ya watu japo ni jambo dogo sana ,Kunywa maji kutakusaidia kupunguza asidi inayopatikana tumboni ambayo husababisha tatizo la kiungulia. Unywaji wa maji utarahisisha mchakato wa umeng’enywaji wa chakula.

🌷Hata hivyo pia unywaji wa maji Huboresha na kuimarisha ngozi Utafiti unaonyesha kuwa kunywa maji kunarahisisha mzunguko mzuri wa damu katika ngozi.

Hivyo basi, hili husababisha kuondoa sumu mbalimbali katika ngozi na kuiacha ngozi yako katika hali nzuri kiafya. Kwahyo unywaji wa maji kwa wingi ni muhimu sana kwa afya ya mwanadamu na inashauriwa kama huwezi kunywa hata lita moja basi anza na kunywa kidogo afu utaongeza kadli mwili utakpozoea .

Kwa ujumla maji yanachukua asilimia 70 ya mwilini ya sehem kubwa ya mwilini kama ungependa kupata elimu nyingine kuhusu magojwa mbalimbali na matumizi ya dawa asilia ukiwa nyumbani kwako toa comment yako upate elimu bure karibu saana .

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data