KOMESHA KABISA VIDONDA VYA TUMBO

KOMESHA KABISA VIDONDA VYA TUMBO  - Tanzania
  • KOMESHA KABISA VIDONDA VYA TUMBO  - Tanzania
Description :

UTANGULIZI – UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO
Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus.
Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, kama ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.
Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine kama kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.
AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO
Kuna aina zipatazo mbili za Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers)
Vidonda vya tumbo kubwa (Gastric ulcers) – Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa
2. Vidonda vya utumbo mdogo (Duodenal ulcers) – Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu)
CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO
Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;
Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu kama asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
Kuwa na mawazo mengi
Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
Kunywa pombe na vinywaji vikali
Uvutaji wa sigara
Kuto kula mlo kwa mpangilio
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili kama;
1.Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa
kama ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
2.Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
3.Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
4.Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
5.Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
6.Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
7.Kushindwa kupumua vizuri
JINSI YA KUEPUKANA NA VIDONDA VYA TUMBO
*Kunywa maji mengi
*Punguza mawazo, fanya mazoezi yatakupunguza na mawazo
*Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol)
*Usivute sigara
*Punguza au acha kunywa pombe
*Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
*Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9
MADHARA YA VIDONDA TUMBO
Saratan ya utumbo
Kupungua kwa kinga ya mwili
Kupungua uzito
Kupungua kuvu za kiume
Kupoteza viini lishe muhimu mwilin
Na nk


TIBA
Zipo dawa nyingi zinazo tumika kutibu changamoto hii za asili na zisizo za asili
Ila ufahamu tiba muhimu ni ile ambayo haichi madhara katka mwili wako
Kwa utaaalam wangu ningependekeza bidhaa zenye viambata hivi FOS ,RAdix astragal na Anti Diarr
Hizi zitaweza kuondoa changamoto hiyo
Kwa ushauri zaid wasilana nasi

#dalili vidonda tumbo
#sababu vidonda tumbo
#madhara vidonda tumbo
#jinsi ya kuepuka vidonda tumbo
#tiba vidonda tumbo
#ushauri vidonda tumbo.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data