Transaction Typesell
Area800 m2
Description :
Viwanja vipo misugusugu kibaha
mbele ya shule
eneo ni misugusugu vitendo
✔️umbali ni kilometa moja na nusu kutoka barabara ya morogoro
✔️ ni makazi ya watu
✔️huduma za kijamii maji umeme zipo , ✔️barabara inapitika nyakati zote