Transaction Typesell
Area440 m2
Description :
KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI.
KIMBIJI CENTRE.
-Kipo Kimbiji Centre.
-Ni sehemu nzuri sana.
-Huduma za umeme,shule na maji zipo kwa karibu.
-Ukubwa ni 20m kwa 22m ambayo ni milioni 2.5 tu.
-Kiwanja kizuri na kinauzwa kwa bei ya ofa.