Transaction Typesell
Area625 m2
Description :
Nauza kiwanja kipo kigamboni mwongozo, karibu na mwongozo national housing estate, mwendo wa dakika 10-15 kuelekea baharini. Ukubwa wa kiwanja ni 625 sqm.
sehemu muhimu jirani na kiwanja ni mwongozo primary school, mwongozo dispensary, mwongozo catholic church, mwongozo mosque. etc
bei ya kiwanja ni milioni 16.