Transaction Typesell
Area443 m2
Description :
⚫Kiwanja kimezungukwa na nyumba eneo la Chamwino ikulu
⚫Kipo Mita chache(400) kutoka barabara kuu ya Dodoma-Dar.
⚫Maji,umeme kama unavyoona,kimebaki hicho Tu,Wahi mapema.
⚫Tuna miradi mingine ya Viwanja maeneo ya Kitelela, Nala, Chamwino, Chahwa, Mtumba, Ihumwa, Iyumbu, Itega.
⚫Malipo ni Kwa cash au awamu inakubaliwa.
⚫Kiwanja kimepimwa na kina hati.