Kiwanja Cha Barabarani Kinauzwa.

Kiwanja Cha Barabarani Kinauzwa. - Tanzania

 • Kiwanja Cha Barabarani Kinauzwa. - Tanzania

Transaction Typesell

Area5731 m2

Description :

Kiwanja kipo pembezoni mwa barabara ya mwanza shinyanga maeneo ya nyang’omango jijini mwanza, sehemu nzuri sana kwa kujenga godawni, kiwanda, yadi ya magari na mabasi, kituo cha mafuta na hata supamaketi.
Kiwanja kina ukubwa wa 70*90*65 meta kinazidi kidogo hekari moja, kina barabara kuu ya rami ya mwanza shinyanga upande wa mbele, na ubavuni kuna barabara inayoenda chuo cha tia, upande wa kulia kuna mlima mzuri wenye mawe ya kutosha kujenga msingi na fensi ya jingo lote.
Pia kuna nyumba ndogo mbili za matope.
Bei ya kuuza ni 150,000,000/= ( milioni 150) au /=
Kwa mazungumzo ya bei na kutembelea nyumba wasiliana nami kwa simu

Our safety tips

 • Check if the listing belongs to a Jumia Shop. If it does, we already discussed with the listing publisher.
 • All listings bearing the "Jumia House" feature are provided though real estate professionals.
 • Never send money to "book" a property, ask the cost for a visit.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Carefully check that the property is matching your expectations in term of quality. Do enquire professional advice if needed.
 • Make sure the person you are dealing with is a registered agent and can produce all required documents.
 • Beware of homeowners too busy to meet you: when dealing with a serious owner, he/she will always find time.
 • Make sure the property documents are in order and legit. Do enquire professional advice if needed.
 • Never provide personal details before meeting with the listing owner.
 • Beware of offers too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data