KISUKARI KINATIBIKA

KISUKARI KINATIBIKA - Tanzania
KISUKARI KINATIBIKA - Tanzania
  • KISUKARI KINATIBIKA - Tanzania
  • KISUKARI KINATIBIKA - Tanzania
Description :

UGONJWA WA KISUKARI
Ugonjwa wa kisukari ni mlolongo wa matatizo mwilini,ya mda mrefu na mfupi kutokana na upungufu au kutoweza kutumika vizuri kwa kichocheo kinachoitwa insulin. Insulin hutengenezwa na chembechembe zilizopo ndani ya kiungo cha kongosho. Miili yetu inahitaji insulin ili kuweza kutumia sukari tuliyonayo mwilini. Sukari inatokana na chakula ambacho tunakula kila siku na hutumika kwa kutupa nguvu mwilini. Kwa kawaida sukari ikizidi, ya ziada inahifadhiwa katika ini kama mafuta. Mafuta haya hubadilishwa kuwa sukari na kutumika wakati tukiwa na njaa kwa mda mrefu. Endapo kuna matatizo ya kutengeneza au kutumika kwa insulin, sukari mwilini huongezeka haraka na inamaanisha ugonjwa wa kisukari upon a dalili kuanza kuonekana.
Viashiria vya ugonjwa wa kisukari (risk factors)
Unene uliozidi na kiribatumbo
Ulaji mbaya wa chakula
Baadhi ya madawa
Msongo wa mawazo
Historia ya ugonjwa wa kisukari kwenye familia
Tezi ya shingo (husababisha mwili kukua na kuongezeka haraka)
Kutofanya mazoezi
Umri zaidi ya miaka arobaini (kadri tunavyozeeka na kongosho letu linapungua uwezo wa kutoa insulin hivyo kusababisha kisukari)
Magonjwa yanayoharibu kongosho
Akina mama wanaojifungua watoto wenye kilo zaidi ya arobaini (Mara nyingi hawa akina mama huwa na ugonjwa wa kisukari ila hawagunduliki hadi mtoto anapozaliwa na kuonekana mkubwa)
Akina mama wenye historia ya kisukari wakati wa ujauzito
Utumiaji uliozidia pombe na uvutaji sigara


Dalili za ugonjwa wa kisukari
· Kiu ya mara kwa mara
· Kupungua uzito licha ya kula vizuri
· Njaa kali na ya mara kwa mara
· Jasho jingi
· Uchovu usioeleweka hata bila kufanya kazi
· Kizunguzungu
· Macho kupungua uwezo wa kuona
· Kidonda kisichopona haraka


Tiba ya ugonjwa wa kisukari
Tiba bila dawa- ukigundulika unatakiwa kula chakula utakachoshauriwa na kufanya mazoezi ili ili kushusha sukari yako iwe ya kawaida.
Tiba kwa vidonge-wengine hawawezi kutumia chakula tu kwa kushusha sukari hivyo wanapewa dawa za vidonge ili kushusha sukari yao pamoja na chakula

.
Tiba kwa kutumia sindano ya insulin-wanopata kisukari kabla ya miaka 35 lazima watumie insulin ili kuishi. Pia wagonjwa wa umri zaidi ya miaka 35 inawezekane sukari yao isishuke kwa vidonge hivyo namna ya tiba yao inabaki kuwa sindano tu.


Madhara ya ugonjwa wa kisukari
Endapo ugonjwa wa kisukari utapuuzwa au kutotibiwa inavyostahili madhara mengi yanaweza kujitokeza na yanatokana na kiwango cha sukari kuwa juu mwilini.
Magonjwa ya moyo
Kiharusi
Kupungua nguvu za kiume
Figo kushindwa kufanya kazi
upofu


Ni matumaini yangu wewe msomaji umenufaika na hili somo na pia utanufaishaisha familia na jamii iliokuzunguka.
Kama hujapata huu ugonjwa ni muhimu kuepuka unene uliozidi kwa kula lishe nzuri na ya kiasi, epuka pombe, msongo wa mawazo, pombe na uvutaji wa sigara na la muhimu zaidi ni mazoezi ya viungo .
Tunashauriwa kupima kama tuna ugonjwa wa kisukari kila mwaka, hivyo basi nenda mapema ili kuepuka madhara.


Je hizi dawa C24/7, LESTOLYF na CHOREDUZ inawezaje kumsaidia mtu huyu wa kisukari kurudi katika uzima. ni kwamba mgonjwa wakisukari anapoanza kutumia hizi sawa nilazima aweke record napia awe karibu na daktari wake. kwasababu changes zinapotokea kwa huyu mgonjwa inamaana daktari wake atamshauri apunguze dozi ya hospitalini.Hizi dawa inachofanya ni kwenda katika kongosho na kuzalisha seli mpya ambazo zitaweza kuzalisha insulin ya kutosha nakuweza kukotroo sukari katika mwili.
Nahapo MTU huyo wakisukari akawa amerudi katika hali yake ya uzima kbx

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data