KISAMVU:

KISAMVU:  - Tanzania
  • KISAMVU:  - Tanzania
Description :

KISAMVU: ZIJUE FAIDA ZA MBOGA YA KISAMVU MWILINI.

Kisamvu ni aina ya mboga za majani zinazopatikana sehemu mbalimbali hapa nchini Tanzania.Mboga hii ni zao litokanalo na Mihogo (Majani ya mti wa Mhogo),wataalamu wa afya wanashauri kwamba ulaji wa kisamvu kwa wingi ni muhimu kwa sababu zifuatazo;

Kuua bacteria mwilini
Chanzo cha protini.
Kulinda ini.
Chanzo cha madini ya chuma
Kuongeza damu na kuzuia anemia.
Kuongeza ubora wa mbegu za uzazi za mwanaume.
Kupunguza kiwango cha sukari kwenye damu.
Kupunguza kiwango cha kolesteroli mwilini.
Kuboresha kiwango cha wamama wanonyesha.
Kuimarisha kinga za ini mwilini.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data