Transaction Typesell
Area1618 m2
Description :
• Kiwanja kipo Dege/Shirikisho mita 100 kutoka barabara kuu na kilomita 21 kutoka Ferry
• Kiwanja kimepimwa hati bado
• Ukubwa ni sqm 1,618
• Bei TZS milioni 25
.
kina ukuta upande mmoja (wa nyuma) • kipo tambarale • hakituamishi maji • kinafikika majira yote kwa gari kubwa na dogo • umeme upo • watu wameanza kujenga