KIBOKO YA UVIMBE KATIKA KIZAZI/ FIBROID

KIBOKO YA UVIMBE KATIKA KIZAZI/ FIBROID - Tanzania
KIBOKO YA UVIMBE KATIKA KIZAZI/ FIBROID - Tanzania
KIBOKO YA UVIMBE KATIKA KIZAZI/ FIBROID - Tanzania
  • KIBOKO YA UVIMBE KATIKA KIZAZI/ FIBROID - Tanzania
  • KIBOKO YA UVIMBE KATIKA KIZAZI/ FIBROID - Tanzania
  • KIBOKO YA UVIMBE KATIKA KIZAZI/ FIBROID - Tanzania
Description :

Uvimbe katika kizazi Cha Mwanamke
"UTERINE FIBROIDS/LEIOMYOMA"
Hili Ni tatizo la kawaida kwa wanawake wengi ambao wapo kwenye umri wa kuweza kuzaa (reproductive age). Tatizo hili huathiri 30% ya wanawake wenye umri wa miaka kati ya 15 -35.
..Uvimbe katika kizazi kitaalamu tunaita uterine fibroids ama uterine leiomyoma, "ni uvimbe ambao sio saratani lakini mara chache sana unaweza kugeuka na kuwa saratani" Uvimbe huu hutokea katika nyama laini ya kizazi (uterus smooth muscle).
..Uvimbe unaweza ukawa mdogo kiasi kwamba usiweze kuonekana kwa macho, mwingine ukawa na ukubwa sawa na mbegu , mwingine ukawa mkubwa sawa na mpira. Pia uvimbe unaweza kuwa mmoja au ukawa zaidi ya mmoja.

Na Sababu hasa ya tatizo hili haijawa wazi sana, ila inakisiwa kusababishwa na "kiwango kikubwa cha homoni ya estrojeni , ambayo huwa juu zaidi"

na kwa upande wa dalili Wanawake wengi wenye tatizo hili huwa hawaoneshi dalili, hivyo huweza kuishi na tatizo hili kwa miaka mingi bila kujijua.
Mwanamke mmoja kati ya watatu wenye tatizo hili ndio ambaye anaweza kuona dalili za tatizo hili. Ambazo ni:
..Kuhisi uzito maeneo ya kizazi (chini ya kitovu)
.. Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi, damu hiyo pia inaweza kuambatana na mabonge. Pia anaweza kupata maumivu wakati wa hedhi.
..Kupungukiwa na damu mara kwa mara kutokana na kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi.
.. Maumivu ya kiuno na miguu
.. Choo kuwa kigumu na kupata choo mara chache.
..Kukojoa mara kwa mara

Matatizo ya uzazi
Kama uvimbe ukiwa mkubwa sana unaweza kuona tumbo linakuwa kubwa na kuongezeka uzito.
Kuna ushahidi kwamba , matumizi ya nyama nyekundu, pombe , majani ya chai na unene uliopitiliza kunaweza kupelekea kupata tatizo hili.
.Kupata mimba na kuzaa kunasaidia kupunguza hatari ya kupata uvimbe katika kizazi. Kadri unavyo zaa ndivyo unajiondoa katika hatari ya kupata uvimbe kwenye kizazi

inaezekana una tatizo Hili Ila haujui ufanye kipimo gani kuweza kutambua Kama una tatizo hili ,onana na doctor atachagua kipimo Kati ya hivi

.pelvic examination.
.ultra sound sonography.
.MRI.

Sasa kwa upande wa matibabu Kuna Aina tatu za matibabu ambazo unaeza kuzitumia kuondokana na tatizo Hili
Unaeza kuamua kufanya upasuaji ingawa Kuna uwezekano baadae tatizo likaja kujirudia
Unaeza Kutumia dawa au Matumizi ya vichocheo" hormones"

.Kutokana na hivyo matibabu hutegemea, na ukubwa wa uvimbe, umri wa mgonjwa, mahitaji na maamuzi ya mgonjwa mwenyewe.

Kwa nini utumie Tiba ya Choreduze.. hii Ni Naturceutical ambayo ndani yake Ina Omega 3 fatty acid nyingi na moja Kati ya kazi kubwa ya Omega3 fatty acid Ni kuondoa ama kuyeyusha Uvimbe, tiba hii inafanya vizuri zaidi ikitumika na Complete ambayo hii inaviini lishe ambavyo vinahusika zaidi na kurekebisha hormone.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data