KIBOKO YA TAMBAZI/EDERMA

KIBOKO YA TAMBAZI/EDERMA - Tanzania
  • KIBOKO YA TAMBAZI/EDERMA - Tanzania
Description :

FAHAMU SABABU KUU TANO, ZINAZOCHANGIA TATIZO LA TAMBAZI /EDERMA.,....,✍️?.......✍️?......✍️...?

Unaeza kupata TAMBAZI Ikiwa una Upungufu wa Protein Mwilini na huweza kuambatana na dalili zingine Kama za utapiamlo,

Pili ,Ikiwa Figo kushindwa kufanya kazi Vizuri,
Tatu , Ikiwa Ni mjamzito hasa kuanzia miezi Saba ,
Nne, ukiwa na matatizo Kwenye moyo ikiambatana na dalili za uchovu kupita kiasi,
Tano Matatizo katika INI lived cirrhosis, so Mara kadhaa Unaeza kupata TAMBAZI ikawa Ni ishara ya kuepo kwa magonjwa hatarishi... Na hapa Unatakiwa kufahamu chanzo husika ndipo uanze matibabu.

Vile vile Unaeza kupata Ederma isiyo na madhara na ambayo huisha yenyewe baada ya mda Mfano kusimama ama kukaa eneo moja mda mrefu na Mara kadhaa unaeza kuipata ukiwa unasafiri umbali Mrefu wengi hukutana na shida hii, kula Chumvi nyingi, na Kuna baadhi wanapokaribia hedhi huweza kupata changamoto hii.

USHAURI NA TIBA.
Unashauriwa kumuona Daktari ili kufanya vipimo kujua Sababu inayochangia Wewe kupata TAMBAZI ,ndipo uanze matibabu ,Pia tunazo dawa za asili/ naturalceutical isiyo na madhara ambazo zimesheheni viini lishe ambavyo vitakusaidia kutambua kiini Cha tatizo na kuanza kutibia kuanzia ndani.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data