Transaction Typesell
Area523 m2
Property Investors Company inauza Viwanja eneo la Pangani Kibaha kwa bei ya offer msimu huu wa Sikukuu, Viwanja vina sifa zifuatazo:
⚫ Viwanja vizuri kwa makazi na biashara.
⚫Vipo km1.5 toka Barabara ya lami iendayo vikawe.
⚫Vipo karibu na mnada wa mbuzi wa Loliondo.
⚫ Viwanja vimeshapimwa tayari kwa hati.
⚫Bei Vinaanzia million 5
⚫Site tunaenda kila siku hamna charge.
⚫Ofisi zetu zipo nyuma ya Ubungo plaza.
⚫Tuna Viwanja vingine maeneo ya Misugusugu Kibaha, Vigwaza, Vikawe Kimele Baobab, Vikawe Mpiji,Goba Kulangwa, Bunju mji mpya,Madale Mivumoni, Mbutu Kigamboni, Mwasonga Kigamboni, Cheka Kigamboni.
⚫Wahi sasa offer hii