Transaction Typesell
Area565 m2
⚫Ni Viwanja vizuri Kwa ajili ya makazi.
⚫ Huduma zote za kijamii zipo.
⚫Bei zetu ni nafuu yaani 15,000 kwa square meter moja.
⚫Unaweza lipa cash au kwa awamu.
⚫ Viwanja hivi Vipo umbali wa Kilometre 3 kutoka Morogoro road.
⚫Lipia mara 3 tu kila mwezi.
⚫ Viwanja vimepimwa tayari na vina hati.
⚫Vipo vya ukubwa mbalimbali.
⚫Tuna miradi mingine ya Viwanja maeneo ya Kibaha Pangani, Misugusugu,, Vikawe, Mapinga Bagamoyo, Vigwaza, Kisota Kigamboni, Cheka Kigamboni, Mbutu Beach Plots,Bunju Mji mpya, Madale Mivumoni.. Dodoma maeneo ya Chamwino, Mtumba, Itega, Ihumwa Elshaadai, Iyumbu, Mahoma Makulu, Msalato Airport, Kitelela..