Transaction Typesell
Area517 m2
Description :
⚫Bei ya kiwanja cash ni 9,000 kwa square metre moja na kwa installment bei ni 9,500 kwa square meter moja.
⚫Viwanja vipo karibu na soko la Loliondo.
⚫Viwanja vipo umbali wa Kilometres 2 kutoka Morogoro road.
⚫Viwanja vimepimwa na vina hati.
⚫Mradi huu wa viwanja upo karibu na Barabara inayounganisha Vikawe na Kibaha.
⚫Vipo viwanja vya ukubwa mbalimbali.
⚫ Kutembelea site ni kila siku.
⚫Ofisi zetu kwa Dar es Salaam zipo Nyuma ya Ubungo plaza na kwa Dodoma zipo Capital City Mall...
KARIBU SANA