Transaction Typesell
Area399 m2
Description :
Ni viwanja vinavyofaa kwa makazi na biashara.
Bei yetu ni 15,000 kwa square meter moja.
Vipo viwanja vya ukubwa mbalimbali.
Mradi huu wa viwanja upo umbali wa Kilometre 3 kutoka Cheka stand.
Miundombinu ya umeme tayari imeshafika kwenye mradi.
Kutembelea site ni kila siku.