KANUNI 4 ZA KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO

KANUNI 4 ZA KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO - Tanzania
  • KANUNI 4 ZA KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO - Tanzania
Description :

KANUNI 4 KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO

Kumekuwa na dhana kwamba vidonda vya tumbo haviponi. Huu sio ukweli sahihi. Ila wengi hawajui ukweli wa namna gani ya kutibu vidonda hivyo.

Kanuni hizo ni
1. Fahamu chanzo cha Tatizo lako.
Je, ni bacteria wabaya kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, kutokuwa na ratiba nzuri ya mlo, Kiwango cha Acid tumboni, gesi nk?
Kutibu lazima lianzie
2. Fahamu ukubwa wa tatizo lako.
Yani lazima ujue ukubwa wa changamoto yako. Sio unakutana na wauza dawa za panya wanakueleza kuna dawa ya Vidonda vya tumbo na ww una kurupuka kununua. Pata vipimo au waone wataalamu kujua zaidi.

3. Fahamu vyakula vya kuepuka kabla na wakati wa matibabu yako.
Sio kila vyakula utapaswa kula hasa wakati wa matibabu. Pata mwongozo

4. Pata tiba sahihi.
Unapo pewa dawa za vidonda lazima ujiulize je ni sahihi kwangu!? Na ukisha pata hakikisha unapata pia dawa ya kukausha vidonda hivyo vinginevyo huweza kukaa kwa mrefu sana bila kupona.

5. Epuka vyanzo vya tatizo lako. Ukisha pata matibabu pata mwongozo wa kudhibiti vyanzo hatarishi.

Kupata ushauri zaidi na matibabu juu ya changamoto ya VIDONDA VYA TUMBO Wasiliana nasi.

Tupigie

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data