Jogoo Anakuangusha Kwenye Tendo La Ndoa?

Jogoo Anakuangusha Kwenye Tendo La Ndoa? - Tanzania
  • Jogoo Anakuangusha Kwenye Tendo La Ndoa? - Tanzania
Description :

Nini Maana Ya Jogoo kushindwa Kuwika?


Hii ni hali inayomtokea mwanamme ambapo anakuwa na hamu ya kufanya tendo la ndoa lakini uume wake au hausimami kabisa, unakosa kusimama kikamilifu au unasimama kikamilifu kwa muda mfupi sana hivyo kukosa nguvu ya kufanya tendo lililokusudiwa. Nusu wa wanaume hupata tatizo hili wanapofikia umri wa miaka 40, idadi ikiongezeka kwa wanaume wenye umri mkubwa zaidi, kwa mfano asilimia 70 ya wanaume wenye miaka 70 huwa na tatizo hili. Ifahamike kwamba kila mmoja wetu huweza kupata tatizo hili kwa muda fulani kutokana na vitu kama uchovu, kupata kilevi, kutoelewana na mwenzi n.k. Tunasema mwanamme ana tatizo hili pale hali hii inapoendelea kwa kipindi kirefu, kwa mfano hali hii ikitokea kwa mwezi mzima mfululizo.

Sababu Za Tatizo La Jogoo Kushindwa Kuwika


Kuna mengi yamesemwa kuhusu chanzo cha tatizo hili. Imani iliyoenea ni kwamba tabia ya vijana kujichua (kupiga nyeto) ndiyo inayosababisha tatizo hili. Mimi sijaona pahali wataalamu waliposema hivyo, nafikiri si kweli ukizingatia kwamba wataalamu wamekuwa wakiwashauri vijana kufanya hivyo kuliko kwenda sehemu za machangudoa pale wanapozidiwa. Ukizingatia kwamba tendo la uume kusimama linahusisha ubongo, homoni, misuli na mishipa ya damu, tatizo katika moja au baadhi ya hayo ndilo linaloweza kusababisha jongoo ashindwe kupanda mtungi. Baadhi ya sababu zinazopelekea uume kutosimama au uume kukosa nguvu ni:

. Magonjwa ya moyo na kusinyaa kwa mishipa ya damu
. Unene wa kupindukia
. Ugonjwa wa kisukari
. Uvutaji wa sigara
. Utumiaji wa pombe
. High blood pressure
. Cholesterol nyingi katika damu
. Ugonjwa wa Parkinson’s
. Ugonjwa wa multiple sclerosis
. Upungufu wa homoni ya testosterone
. Tiba ya tezi dume
. Kuumia kwenye nyonga au uti wa mgongo
. Tiba ya mionzi kwenye eneo la nyonga

Kupata maelezo ya kina au tiba, tutembelee ofisini, tupo mtaa wa Lindi, ndani ya majengo ya Machinga Complex, eneo la Karume.

Kwa walio nje ya Dar es Salaam, huduma ya kutuma mzigo kwa bus inatolewa.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • Never send money to "book" an item, avoid paying before seeing the it.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matching the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data