Description :
Afya bora kwenye tendo la ndo hujengwa na virutubisho na madini muhimu kama
1.calcium amino acide chelate
2.zincamino acid chelate
Pia afya bora ujengwa na
1.mazoezi hasa pushapu.
2.unywaji bora wa maji safi.
3.utumiaji wa mbogamboga na matunda.
Kama wewe afya yako kwenye tendo sio nzuri unachangamoto wasiliana nami upate matibabu sahihi ya virutubisho na kuondoa changamoto.