JINSI YA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME

JINSI YA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME - Tanzania
JINSI YA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME - Tanzania
JINSI YA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME - Tanzania
  • JINSI YA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME - Tanzania
  • JINSI YA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME - Tanzania
  • JINSI YA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME - Tanzania
Description :

Njia tano za kurudisha nguvu za kiumeNajua umekuwa ukisumbuka kila siku kufurahia ndoa yako, hadi imefikia hatua mbaya. Najua umekuwa mnyonge na mwoga wa kugundulika kwa mwenza wako kuwa unasumbuka na tatizo hilo. Umejaa woga, umegubikwa na msongo wa mawazo na umekuwa ukizunguka kila sehemu upate msaada na hatimaye umekuwa ukitoa pesa bila hata kurudisha furaha ya ndoa yako na nafsi yako!Pole kwa changamoto lakini elimu ni bora kuliko yote yaliyokupata. Hebu soma hiki ambacho nimekuwa nikipewa asante kila siku na wagonjwa wangu wewe pia uwe miongoni mwao.1.Epuka vinywaji vyote vyenye sukari nyingi,vya kusindika, vyenye vionjo vya sukari,rangi na ladha.Katika afya yako kwani vyakula hivyo ni adui mkubwa sana wa afya yako hasa wakati unataka kurudisha nguvu za kiume. Kula vyakula asili, nafaka ambayo haijakobolewa,matunda kwa wingi ambayo hayasagwa yenye nyuzi nyuzi nyingi na pia juice ya matunda na mboga za majani. Utafurahia maisha ya kula vyakula asili na utafurahia ndoa yako. Anza kuanzia leo rafikiEpuka pombeKatika maisha yako yote kwani tafiti zinaonesha kwamba pombe inakupa hamu au shauku ya kufanya tendo la ndoa lakini inakunyima uwezo wa kufanya tendo la ndoa! Najua utashangaa lakini ndivyo ilivyo, kuna usemi wa kiingereza unasema, “It provokes the desire, but it takes away the performance,” Sio hayo tu pombe pia ni sumu, ni chanzo cha msongo wa mawazo na kukupelekea kukosa kabisa hamu ya tendo la ndoa.2.Fanya mazoezi ya kutosha.Watu wengi wamelemewa na magonjwa kwa sababu tu mwili haupati damu ya kutosha kwenda sehemu mbali mbali kama vile ubongo, ini na figo. Viungo ambayo ndio sehemu zenye kuufanya mwili wako ufanye kazi katika uhalisia wake. Hivyo basi magonjwa mengi ya msunguko wa damu ni pamoja na nguvu za kiume kwani kama hufanyi mazoezi mwili wako unadhofika na kukosa uwezo wa kuhimili ndoa yako pia inapunguza nguvu za kiume.Basi ningependa kusema kwa wale wazee siku hizi kuna vituo mbalimbali ambavyo vitakusaidia mwili wako kuwa imara na kurudisha uwezo wako katika tendo la ndoa kupitia mazoezi. Mazoezi huimarisha mwili wako na kuweka mbali mwili wako na maradhi mbalimbali yanayo sababishwa na uzembe.3.Rudisha Virutubisho Vilivyopungua mwilini mwakoHakikisha mwili wako unaupa madini ya msingi kama zinc, chuma, selenium, manganese na vitamin nyingi. Kwani madini haya ndiyo yanafanya mwili wako ufanye kazi katika kiwango stahiki kwani huwezesha viendesha shughuli za mwili yani enzymes kufanya kazi katika kiwango kizuri na kuimarisha mwili wako.Unaweza kupata madini haya yote kutoka kwenye mboga za majani kama wewe ni mvivu basi unaweza kunywa juice inayotokana na mboga mboga kama kabeji,spinachi kale, nk. Kwa wale ambao ni kazi sana kuhimili zoezi hilo unaweza kujipatia kirutubisho hicho ofsini kwetu ambacho kina madini yote hayo.4.Ondoa mafuta mabaya yanayopunguzamzunguko wa damu.Unaweza kuondoa cholesterol mbaya mwilini mwako kwa kutumia mafuta ya omega 3 .Vyakula vyenye mafuta haya ni kama samaki, flaxseeds, na blackseeds. vyakula vyenye uwezo mkubwa wa kusafisha mafuta mabaya mwilini mwako. Unaweza pia kufika ofsini kwetu kama utahitaji mafuta haya yaliyotengenezwa kitalamu utayapata na yatakusaidia.5.Kula matunda Mara kwa Mara

Matunda yana madini mabali mbali muhulimu sana katika kujenga afya ya ubongo ,moyo na kuimarisha mfumo wa uzazi hivyo kuweka kinga ya mwili kua vivuri zaidi matunda kama ndizi,tikiti,tango ,nanasi ,papai na nk hufaa sana hivyo ni vyema ukala kilu siku ukiweza au unywe jusi yake6.Safisha Sumu mwilini kwa kutumia viondoa sumu.Kuna sumu aina kuu tatu ambazo mimi huwa napenda kuziongelea siku zote na kushughurika nazo kwa wagonjwa wangu kama zifuatazo.Sumu ambayo inatokana na mabaki ya hewa ya oksijeni yani free radicals ambayo ni moja wapo inaweza kuumiza seli za mwili wako na kusababisha seli zako kubadili mtazamo wa ukuaji na kuendelea kuzalishwa seli mbovu na hatimaye zinaweza kukupa asali

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data