UKE MCHAFU:Ni uke ambao hutoa harufu na hutoa uchafu kama maji maji ya njano kama maziwa ya mtindi yeny harufu mbaya kama shombo la samaki
VISABABISHI VYA UKE MCHAFU
-matumizi ya sabuni za antbiotics kujisafishia uke km protex,medicatede soap, n.k
-Kujiingiza vidole ukeni mara kwa mara
-Fangasi sugu ukeni
-U.T.I sugu
-Kutojisafisha na kujikausha vizuri ukeni
-Magonjwaa ya zinaa kama kaswende,gonorea n.k
-Hormone imbalance
-Unywaji na ulaji wa vyakula vyeny sukari kwa wingi mara kwa mara
-Ulaji wa vyakula vyeny mafuta mara kwa mara
DALILI ZA UKE MCHAFU
-kutokwa na uchafu ukeni usio wa kawaida
-Kutokwa na uchafu weny harufu mbaya
-Kuwashwa sehem za siri ndan ya uke
-Maumivu sehem za siri wakat wa kukojoa
-Maumivu makali chini ya kitovu
-Kutokwa na uchafu ulio changanyikana na damu
-Kutokwa na maji maji ya njano kama mtindi yeny harufu mbaya kama shombo la samaki
Hivyo Wenda na ww NI mmoja wa tatizo hili .Tungekushari ujaribu dawa tulizonazo ambazo simewasaidia wengi na Leo wapo safi kabisa.
Vilevile tunatoa ushauri Bure Kama inatatizo lolote uzazi karibu tutakwmbia Nini Cha kufanya ahsant.
JINSI YA KUONDOA HARUFU MBAYA YA UCHAFU SEHEMU ZA SIRI
Description :
This listing was not posted by a representative of Jumia. Jumia cannot guarantee the origin of the product / service.