JINSI YA KUJITIBU MIWASHO SEHEM ZA SIRI KWA MWANAMKE AKIWA MWENYEWE NYUMBANI MBINU HIZI HAPA.

JINSI YA KUJITIBU MIWASHO SEHEM ZA SIRI KWA MWANAMKE  AKIWA MWENYEWE NYUMBANI MBINU HIZI HAPA. - Tanzania
  • JINSI YA KUJITIBU MIWASHO SEHEM ZA SIRI KWA MWANAMKE  AKIWA MWENYEWE NYUMBANI MBINU HIZI HAPA. - Tanzania
Description :

Aisee ni jambo la kushangaza kabisa Ivi unajua kwamba miwasho inayokusumbua sehem za siri nyingi zinasababishwa na ww mwenyewe na unaweza kujitibu mwenyewe pia? Sasa leo nimekuja na ujumbe wako mzuri juu ya mbinu mbadala za kutumia kujitibu mwenyewe ukiwa nyumbani na ningependa kukusihii usichoke kusoma mpka mwisho ili ulielewe na kuzijua hizo mbinu ,Pia kabla ya yote ningependa tujue miwasho ni nini? Na kivipi inatokea?👇👇
MIWASHO.
Kawaida mwanamke ana ulinzi ukeni kwake, yaani bakteria wazuri wanaishi kule kwa ajili ya kulinda uke, japo pia bakteria wabaya wanaishi kule lakini kwa uwiano, ya kwamba wale wazuri wanakuwa wengi ,kuliko wabaya . Sasa ikitokea kwamba wale bacteria wabaya wakawa wengi, hapo ndio utaona miwasho kwa mwanawake haishi kujikuna mara kwa mara.Na kwa wengine kwa sababu hiyo hufanya kutokwa na vipele,au vidonda na uke kuwaka moto na midomo au Mashavu ya uke kuwa na wekundu kama ameumgua na moto kutokana na miwasho na kujikuna mara kwa mara kwahyo hali huanza kwa namna hii na matokeo yake hao bacteria ndo sasa tunaanza kuwaita fangasi yaaan yeast infection ,je na hao fangasi ni nini?

FANGASI.Inasababishwa na jamii ya fungi anaitwa CANDIDA. Seli za fangasi na bacteria wazuri huishi ukeni bila tatizo lolote.Tatizo linakuja endapo ukuaji wa fangasi hawa ukeni watakuwa wengi kushinda wazuri. Basi hapo ndio inapotokea ugonjwa wa fangas na miwasho mingi.

Sasa ni mbinu gani unaweza kuzitumia kujitibu mwenyewe bila dawa na hata ukitumia dawa iwe rahisi kupona na unajua wanawake wengi siku hizi bacteria hawaponi na wengi wao bacteria wameshakuwa sugu kwa kuwa hawajui namna ya kuepuka na mbinu gani watumie kujitibu na kupona mapema.mbinu zake ni kama zifuatazo👇
🥑Hakikisha inaepuka kuwa na unyevu unyevu sehem za siri kwa maana kwamba unapotoka kuoga jitahidi kukausha maji yote kwa kitambaa safi na laini ili kufanya mazingira ambayo bacteria wabaya hawawezi kuzaliana kwa wingi kwahyo watabakia bacteria wazuri tu ambao ni kama walinzi tu.

🥑Kingine vaa nguo za ndani ambazo zimekauka vzr na ikiwezekana zipige pasi ili kuua bacteria wabaya wanaoweza kuleta athari katika afya ya uke hasa kuleta harufu na uchafu ambao ni mkali sana.
🥑Pia epuka kutumia dawa nyingi za kuweka chini kwa kiwango kikubwa au kwa mda mrefu kwa sababu dawa hizi zinachangia kuua bacteria wazuri ambao ndo walinzi na hapo wale bacteria wabaya wataongezeka na hapo lazima watashambulia njia ya kizazi kwa wingi na kuleta madhara makubwa kama kuleta uwezekano wa kupata ugumba,kuathiri mirija ya uzazi na uchafu kama usahaa. Haya ni machache tu kati ya mbinu za kujitibu ningependa kuendelea ila sitaki kukuchosha mpenzi msomaji wangu ila kama umeenda ujumbe huu nitumie messegi kwa whatsap ili upate mbinu nyingine na pia dawa maalumu kama tatizo lako lishakuwa la mda mrefu au lishakuwa sugu karibu sana na ahsante kwa kusoma mpka mwisho🙏🙏👏👏

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data