JINSI VIUNGO VYA MWANAMKE VINAVYOJISAFISHA

JINSI VIUNGO VYA MWANAMKE VINAVYOJISAFISHA - Tanzania
  • JINSI VIUNGO VYA MWANAMKE VINAVYOJISAFISHA - Tanzania
Description :

Kati ya uwezo wa ajabu aliyomjaria mwanamke ni ule uwezo wa viongo vyake vya mwili kujisafisha vyenyewe automatically.Na kama ulikuwa hujui basi leo nimekuja kukupa ujumbe huu mzuri ambao unaweza pia kuwa tiba endapo utapata kutokwa na ute ambao sio rafiki kwa viungo vya uzazi .
Kwa kawaida viungo vya uzazi vya mwanamke hujisafisha kwa njia ute unaotoka kwenye uke na kwa mwonekano tu wa aina ya ute utakao toka ndiyo tafsiri ya afya ya via vya uzazi,kwahyo kama ute utatoka ukiwa na rangi tofauti na nyeupe inaweza kuashiria ishara mbaya ya afya ya via vya uzazi hasa kama umeambatana na harufu pamoja na miwasho ambayo inapelekea kuvimba au kuwaka moto katika mashavu ya uke.
Kwahyo Utokaji wa ute huo ni mojawapo ya njia ya uke kujisafisha wenyewe kwa kutiririka pamoja na mabaki ya hedhi au takataka za mwili au zilizotoka nje ya mwili. Ute huu huzalishwa na kuta za nyumba ya uzazi na huzifanya tezi za ukeni kushuka chini kutokana na nguvu za uvutano (gravity).Kama ungependa kujifunza zaidi au unashida au swali lolote niandikie comment hapo chini upate ushauri pamoja na suluhisho kama kuna tatizo linakutatiza juu ya ute unaotoka ukeni karibu sana.🙏.....✍️✍️✍️👏🥑

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data