JINSI NILIVOJIGUNDUA KUWA NA UVIMBE KWENYE OVARI ( YAAN OVARIAN CYST.)

JINSI NILIVOJIGUNDUA KUWA NA UVIMBE KWENYE OVARI ( YAAN OVARIAN CYST.) - Tanzania
  • JINSI NILIVOJIGUNDUA KUWA NA UVIMBE KWENYE OVARI ( YAAN OVARIAN CYST.) - Tanzania
Description :

Hallow habar ndugu mama ,dada natumai u mzima na unaendelea na majukumu ,leo ningependa kukujuza siri iliyonisaidia kutambua kwamba nina uvimbe kwenye ovari yaan ovarian cyst na kunisaidia kuchukua matibabu haraka kabla uvimbe haujawa na madhara makubwa katika mfumo wangu wa uzazi hasa ugumba jambo ambalo liliniogopesha saana ,Hivyo kwanza huu uvimbe nibmkusanyiko wa majimaji yanayojikunya ndani ya ovari na kutengeneza uvimbe kama mchoro wake unavyoonyesha
Hivyo nimeona nikuletee na ww ujue je ni kiashiria gani itakutambulisha kwamba unauvimbe kwenye ovari na utsjitambua vipi

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data