JINSI MKE WANGU ALIVYOTIBIWA UVIMBE KWENYE WENYE KUJAA MAJI NDANI YA OVARI BILA UPASUAJI.(OVARIAN CYST)

JINSI MKE WANGU ALIVYOTIBIWA UVIMBE KWENYE WENYE KUJAA MAJI NDANI YA OVARI BILA UPASUAJI.(OVARIAN CYST) - Tanzania
  • JINSI MKE WANGU ALIVYOTIBIWA UVIMBE KWENYE WENYE KUJAA MAJI NDANI YA OVARI BILA UPASUAJI.(OVARIAN CYST) - Tanzania
Description :


Je we una ovarian cyst?
Je ww unapata maumivu makali kutokana na ovarian cyst?
Basi tumeandaa ujumbe muhimu kwa ajili yako ,ujumbe ambao utakuwa NI suluhu ya kupata mtibabu na kuondokana na hili tatizo.
Sasa soma hadi mwisho.

Tiba ya uvimbe kwenye mayai ya mwanamke

WIKI iliyopita tulieleza aina saba ya uvimbe kwenye mayai ya mwanamke na tukaahidi leo kueleza dalili na tiba yake.
Vihatarishi vya tatizo hili ni historia ya awali ya Ovarian Cyst, kuwa na mzunguko wa hedhi usiotabirika, kuwa na mafuta mengi kwenye sehemu ya juu ya mwili (kwa wale wanawake wanene), ugumba, kuvunja ungo mapema yaani mwanamke akiwa na miaka 11 au chini yake, kukosekana kwa uwiano sawa wa vichocheo mwilini au ugonjwa wa aina ya Hypothyroidism na kadhalika.

Dalili
Kuna dalili nyingi za maradhi haya ya uvimbe kwenye mayai ya mwanamke kama vile maumivu makali ambayo hayana mwanzo maalum yanayochoma, yanaweza yakawa yanakuja na kupotea au yakawepo moja kwa moja. Kuhisi tumbo kuwa zito, limejaa au limevimba, maumivu kwenye matiti, hedhi isiyotabirika, maumivu ya muda mrefu kwenye nyonga wakati wa hedhi na ambayo huweza kuhisiwa sehemu ya chini mgongoni.

Dalili nyingine ni maumivu yanaweza kuanza muda mfupi tu baada ya kuanza hedhi, wakati wa hedhi au mwisho wa hedhi, kuwa na maumivu ya nyonga baada ya kufanya kazi ngumu/mazoezi au baada ya kufanya mapenzi/kujamiana, kichefuchefu, kutapika, kutokwa na matone ya damu kwenye tupu ya mwanamke, ugumba, uchovu, kukojoa mara kwa mara au kujikojolea au kushindwa kutoa mkojo wote kutoka kwenye kibofu cha mkojo wakati wa kupata haja ndogo.

Dalili nyingine ni kupata haja kubwa kwa shida sana kutokana na presha kwenye maeneo ya nyonga,kuongezeka kuota kwa nywele kwenye uso au sehemu nyingine za mwili, kuumwa kichwa, kuongezeka uzito, maumivu ya kwenye mbavu na kadhalika.
Ukipata dalili hizo kamuone daktari ambaye atakufanyia vipimo atakavyoona vinafaa kama vile Endovaginal Ultrasound, Abdominal Pelvic Ultrasound, CT Scan, MRI, Serum CA-125 Assay, Urine for Pregnancy Test, Hormone Levels na kadhalika.

TIBA
Tiba huhusisha matumizi ya dawa za upangaji uzazi Oral Contraceptives kwa muda wa wiki 4-6. Matumizi ya dawa hizi kwa muda mrefu huzuia kutokea tena kwa uvimbe kwenye mayai ya mwanamke. Dawa hizi hufanya kazi kwa kuzuia mayai ya mwanamke Ovary kutoa mayai ya uzazi Ovums.

Aidha, dawa hizi hazipunguzi uvimbe huu kwani uvimbe hupotea wenyewe baada ya muda. Dawa za maumivu hutolewa kwa wale wenye kupata maumivu makali. Matumizi ya dawa za matatizo ya uzazi husababisha tatizo la Ovarian Hyperstimulation ambalo huambatana na uvimbe kwenye mayai ya mwanamke, uvimbe wa aina hii hupotea baada ya mwanamke kupata hedhi au baada ya kujifungua.

Tiba ya Upasuaji
Exploratory Laparatomy: Mgonjwa hupasuliwa kwenye maeneo ya tumboni ili daktari aweze kuondoa uvimbe uliopo ndani.
Upasuaji hufanyika kwa wanawake wenye; uvimbe ambao hauwezi kupotea wenyewe au mkubwa kuanzia sentimita 5 hadi 10 na wanawake ambao wamefikisha umri wa kutopata hedhi tena ambao ni kuanzia miaka 42 na kuendelea.

Laparascopic Surgery: Upasuaji huu hufanywa sehemu ndogo kwenye maeneo ya tumboni na kuingiza mpira maalum ambao una kamera kwa mbele na huenda kuondoa uvimbe ulio kwenye mayai ya mwanamke. Upasuaji huu hauachi kovu.

Kwa maelezo zaidi tucheki WhatsApp ili update ushauri Bure na matibabu juu ya tatizo la uvimbe wa katika mayai kwa mwanamke ahsante na karibu saana tukusaidie.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data