Jinsi Mimba Inavyo Tungwa

Jinsi Mimba Inavyo Tungwa - Tanzania
Jinsi Mimba Inavyo Tungwa - Tanzania
Jinsi Mimba Inavyo Tungwa - Tanzania
Jinsi Mimba Inavyo Tungwa - Tanzania
Jinsi Mimba Inavyo Tungwa - Tanzania
Jinsi Mimba Inavyo Tungwa - Tanzania
Jinsi Mimba Inavyo Tungwa - Tanzania
  • Jinsi Mimba Inavyo Tungwa - Tanzania
  • Jinsi Mimba Inavyo Tungwa - Tanzania
  • Jinsi Mimba Inavyo Tungwa - Tanzania
  • Jinsi Mimba Inavyo Tungwa - Tanzania
  • Jinsi Mimba Inavyo Tungwa - Tanzania
  • Jinsi Mimba Inavyo Tungwa - Tanzania
  • Jinsi Mimba Inavyo Tungwa - Tanzania
Description :

Kutungwa kwa ujauzito
je wewe ni mwanamke na unapenda kuitwa mama na hauna uwezo wa kupata mtoto.
na ungependa kupata basi
piga 0746633559 kwa ushauri na tiba.

tuendelee na somo
mara nyingi ni vigumu sana kuitambua siku halisi ya lini hasa ujauzito ulitungwa.Daktari wako ataanza kuhesabu kuanzia siku yako ya kwanza ya hedhi yako ya mwisho ambayo kwa hesabu za kawaida hutoa majibu ya kutungwa kwa ujauzito wiki mbili baada ya hedhi hii

ovulation (kuanguliwa kwa yai)
kila mwezi kwenye ovari za mwanamke (vifuko vya mayai),mayai mengi huanza kukua kwenye vifuko vidogo zaidi vinavyojulikana kama follicles.Mwisho wa kila mwezi huwa ni kuanguliwa/kutolewa kwa yai moja lililikomaa zaidi kuzidi yote ambayo kwa hesabu za kawaida kabisa hutokea pia wiki mbili kabla ya kuingia hedhi ya mwezi ujao

kuongezeka kwa homoni
baada ya kutolewa kwa yai,follicles hubadilika na kuwa corpus luteum ambayo huzalisha na kuongeza wingi wa homoni ili kuutanua ukuta wa mfuko wa uzazi kulipokeaj yai

kusafiri kwa yai
baada ya kutolewa kwake yai huingia kwenye miria ya uzazi na kubaki hapo kwa wastani wa saa 24 likisubiri mbegu ya kiume ili mimba itungwe.Jambo hili pia hutokea kwa makadirio yaleyale ambayo ni wiki mbili baadaye tangu kuisha kwa hedhi

yai lisipo rutubishwa
baada ya kusubiri kwa saa 24 bila kukutana na mbegu ya kiume,yai hili hushuka kwenye mfuko wa uzazi na kuharibika pamoja na ukuta huu.mwili kupitia mfereji wa uzazi (uke) utaanza kuutoa ukuta huu pamoja na yai lililoharibika kama hedhi.

yai likirutubishwa
ikiwa mbegu moja ya kiume itaweza kupambana na kupenya hadi kwenye mirija ya uzazi kisha kufanikiwa kuutoboa ukuta wa yai basi mimba hutungwa.Yai hujilinda kwa kutengeneza ukuta mgumu kuzuia kuingiliwa na mbegu nyingine ya kiume.Kisha baada ya siku 3 au 4 hushuka kwenye mfuko wa uzazi na kujishikiza ili kuulea ujauzito huu.hedhi hukoma na safari ya kutunza ujauzito huu kwa wastani wa wiki 38-40 huanza.< />gusa link ili euweze kifunza zaidi
https://chat.whatsapp.Com/gbj3x i tw09b atirx30ed V1

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data