JINSI GANI UNAWEZA YOFAUTISHA HEDHI NA DAMU YA BAADA YA KUTOKA KWA MIMBA ,SIFA ZAKE HIZI HAPA.

JINSI GANI UNAWEZA YOFAUTISHA  HEDHI NA DAMU YA BAADA YA KUTOKA KWA MIMBA ,SIFA ZAKE HIZI HAPA. - Tanzania
  • JINSI GANI UNAWEZA YOFAUTISHA  HEDHI NA DAMU YA BAADA YA KUTOKA KWA MIMBA ,SIFA ZAKE HIZI HAPA. - Tanzania
Description :

Je utatambua vipi na kutofautisha hedhi na damu ya kwaida baada ya mimba kutoka?

Nimekuletea ujumbe jinsi ya kutofautisha soma mpaka mwisho.

Kwanini unatokwa na damu baada ya kutoa mimba?

Ni jambo la kawaida kutowa na damu baada ya kutoa mimba. Damu hii inaweza kufanana na ile ya hedhi lakini siyo hedhi. Damu ya abortion ni matokeo ya kubomoka kwa ukuta wa mfuko wa mimba ambao ulibeba kichanga.

Baadhi ya wanawake hawapati bleed kabisa baada ya kutoa mimba. Bleed yao hutoka pamoja na hedhi ya kwanza.

Kwa muda gani utatokwa na damu baada ya kutoa mimba?
Ni kawaida kutokwa damu kwa muda wa wiki moja mpaka mbili baada ya kutoa mimba. Baadhi ya wanawake wanaweza kutokwa damu ikastop kisha baada ya muda ikaendelea kutoka tena.

Damu yatakiwa kuacha kutoka baada ya wii mbili. Baada ya hapo unaweza kuendelea kupata vitone vichache vya damu kwa wiki kadhaa zinazofuata mpaka utakapopata hedhi yako ya kwanza.

Sifa ya damu inayotoka baada ya kutoa mimba
Bleed ya abortion hufanana sana na hedhi, tofauti hasa itakuwa kwenye rangi yake kwani bleed hii inakuwa brown zaidi wakati hedhi huwa imezidi wekundu.

Damu ya abortion huwa nzito zaidi kama ulitoa mimba kwa vidonge badala ya upasuaji.

Baadhi ya sababu zinaweza kuongeza au kupunguza kiwango cha damu ya abortion. Mfano unafanya mazoezi zaidi utapata bleed kubwa tofauti kama ukiwa mtu wa kupumzika zaidi.

Mabonge Ya Damu Iliyoganda
Unaweza kuona pia mabonge ya damu iliyoganda. Hii ni kawaida kabisa na siyo kitu cha kutisha. Mabonge ya damu yanakuwa madongo na mengine makubwa kama limau. Endapo unapata mabonge ya damu yanayotoka mfululizo kwa zaidi ya masaa mawili, unahitaji kwenda hospitali haraka kuonana na daktari.

Uchafu unaoambata na Damu
Utatokwa na uchafu unaoambatana na damu. Uchafu huu unaweza kuwa mlaini unaovutika kama kamasi. Chunguza kama uchafu huu ni wa njano au kijani na unatoa harufu kali. Kama hauna dalili hizi basi kuwa na amani lakini kama una dalili hizi ujue kuna maambukizi na unahitaji dawa.

Dalili zingine utakazopata baada ya kutoa mimba ni pamoja na

maumivu ya nyonga na kiuno
kichefuchefu
kutapika
homa
maumivu ya kichwa na
kuchoka sana

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data