JINSI GANI UNAWEZA KURUDISHA UKE ULIOLEGEA KUWA KAMA MCHANGA

JINSI GANI UNAWEZA KURUDISHA UKE ULIOLEGEA  KUWA KAMA MCHANGA - Tanzania
  • JINSI GANI UNAWEZA KURUDISHA UKE ULIOLEGEA  KUWA KAMA MCHANGA - Tanzania
Description :

NJIA RAHISI YA KUFANYA UKE ULIOLEGEA kurudi kama mchanga.Kula chakula sahihi, Moja kati ya njia nzuri zaidi za kupunguza ukubwa wa uke ni kula mlo sahihi ambao utasaidia kujenga afya ya misuli na kuta za uke kwa ujumla. Kwa mujibu wa watafiti ni kuwa unatakiwa ule zaidi vyakula vyenye kuhamasisha uzalishwaji wa homoni ya estrogen vyakula kama uwatu, komamanga, ufuta, maharage ya soya na bidhaa zake, karoti, tufaa (apple), viazi vikuu (yams) nk. Vile vile hakikisha unakula vyakula vya asili zaidi na siyo vya dukani au kwenye makopo au kwenye migahawa, Matunda fresh yanaweza kukusaidia kuwa na harufu nzuri ukeni na kuwa na uke wenye afya. Vile vile kunywa maji mengi kila siku iendayo kwa Mungu na hivyo utakuwa na shepu nzuri ya mwili wako. Hivyo ndo unaweza kujitibu pia mwenyewe ukiwa nyumbani kwahyo kama ungependa kujifunza zaidi comments yako ni muhimu saanaπŸ™πŸ™πŸ™

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data