Jiko la umeme ( Pressure cooker for sale)

Jiko la umeme ( Pressure cooker for sale) - Tanzania
Jiko la umeme ( Pressure cooker for sale) - Tanzania
  • Jiko la umeme ( Pressure cooker for sale) - Tanzania
  • Jiko la umeme ( Pressure cooker for sale) - Tanzania
Description :

Jiko la umeme lenye ujazo mkubwa (zaidi ya lita 5), linatumia umeme, linapika kila kitu kila aina ya chakula (kuoka, kukaanga na kuchemsha)
Linatumia units chache kulingana na matumizi na hivo kuokoa bajeti ya umeme na fedha.
Haliathiri mazingira na salama kwa afya kwani halitoi gesi chafu kama majiko mengine ya gesi.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data