JE MWANAO ANACHANGAMOTO YA KULA?

JE MWANAO ANACHANGAMOTO YA KULA?  - Tanzania
JE MWANAO ANACHANGAMOTO YA KULA?  - Tanzania
JE MWANAO ANACHANGAMOTO YA KULA?  - Tanzania
  • JE MWANAO ANACHANGAMOTO YA KULA?  - Tanzania
  • JE MWANAO ANACHANGAMOTO YA KULA?  - Tanzania
  • JE MWANAO ANACHANGAMOTO YA KULA?  - Tanzania
Description :

JINSI YA KUMFANYA MTOTO APENDE CHAKULA NA AWE NA AFYA NJEMA.
WATOTO WASIOPENDA KULA.

Watoto wengi hua hawapendi kula hasa hasa matunda na mboga mboga,hivyo miili yao inakosa ulinzi ndo maana wanashambuliwa na magonjwa mbalimbali, Pia watoto wanakosa afya nzuri pengine hawali kwa wakati na wanachokula hakina virutubisho/nutrients pengine ni kwa sababu wanachagua vyakula.

Unaweza kumfanya mtoto wako kupenda kula kwa kuzingatia muda sahihi wa kula na pia kula nae,mtoto anafarijika na yeye anakula..

Ila pia kuna suluhisho kwa watoto wasiopenda kula, kama mtoto wako hapendi kula na afya yake inadhoofu unaweza kumpatia mychoco ambayo itampa hamu ya kula lakini pia atajipatia virutubisho stahiki na manufaa mengine mengi.

MANUFA YA (MY CHOCO) KIAFYA
1. Ina ladha ya Chocolate na Cocoa na ni tamu huvutia watoto wasiopenda Kula
2. Inamsaidia Mtoto kumpa Hamu ya Kula
3. Inasaidia Mtoto kupata aina za VIRUTUBISHO 16,000 kutoka kwa Mimea asili, aina 12 za Mboga Mboga, aina 12 Matunda, aina 12 za Uyoga pamoja na 26 za Madini na Vitamin inayo hitajika katika Afya haswa Watoto
4. Fatty Acids zinasaidia kujenga nyama za Mwili
5. Amino Acids Husaidia katika Allergies kwa Watoto
6. DHA + (Omega 3) Husaidia Kumbukumbu kwa watoto, ufanisi wa Ubingo kwa watoto (Ukuuwaji wa Watoto)
7. Madini Husaidia Watoto wenye Ugonjwa wa Kifafa
8. Inamsaidia Mtoto kuwa na Kinga imara za Mwili
9. Inaboresha Ufanis wa Ubongo (Brain Activity) DHA ENHANCEMENT
10. Inamsaidia Mtoto Kuwa na Afya Bora
11. Insaidia kuzalisha Chembe Hai, na Kumlinda na Magonjwa
12. Nzuri kwa Wamama wajawazito na Watoto wanao kuwa
13. Inamsaidia Mtoto kua na Choo kizuri kutokana na Digestive Enzymes wanao saidia mmengenyo wa chakula.

Pata Alkaline chocolate drink kwa afya bora ya familia yako kwa mahitaji wasiliana nasi kupitia Whatsapp or call

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data