Description :
=Pata jagi la kioo na glass sita
=Kina kubwa na dogo Kila mmoja linakuja na glass sita.
=Bei zake zimetofautiana sh 3000
=Hapo just Kuna Bei ya kubwa
Ukihitaji.
Toa oda.
utaletewa mahali ulipo ndani ya Dar es salaam.
Utafanya malipo baada ya kupokea oda yako.