Transaction Typesell
Area540 m2
Description :
⚫Bei ya kiwanja ni 13,000 kwa square meter moja.
⚫Mradi huu wa viwanja unapatikana barabara ya Chuo cha UDOM
⚫Pia mradi upo karibu na maghorofa ya NHC.
⚫Viwanja hivi vimepimwa na vina hati.
⚫Vimebaki viwanja vitano tu,vya ukubwa wa 540sqm vipo vitatu, 728sqm, 809sqm.
⚫Ofisi zetu Kwa Dar es Salaam zipo nyuma ya Ubungo plaza na kwa Dodoma tupo Capital City Mall...Karibu sana