inPods 12

inPods 12 - Tanzania
inPods 12 - Tanzania
inPods 12 - Tanzania
inPods 12 - Tanzania
inPods 12 - Tanzania
inPods 12 - Tanzania
inPods 12 - Tanzania
  • inPods 12 - Tanzania
  • inPods 12 - Tanzania
  • inPods 12 - Tanzania
  • inPods 12 - Tanzania
  • inPods 12 - Tanzania
  • inPods 12 - Tanzania
  • inPods 12 - Tanzania
Description :

JIPATIE ORIGINAL inPods 12 KWA BEI YA OFA
⠀⁣⁣⁣⁣
SIFA ZAKE :⠀⠀⠀⁣⁣⁣⁣
⁣⁣⁣⁣
● Bass Quality Sound⁣⁣⁣⁣
(Zina mdundo wa kutosha.)⁣⁣⁣⁣
⁣⁣⁣⁣
●Zinatoa sauti nzuri na haziumizi masikio.⠀⠀⠀⁣⁣⁣⁣
⠀⠀⁣⁣⁣⁣
● ni TOUCH CONTROL.⠀⠀⁣⁣⁣⁣
⠀⠀⠀⁣⁣⁣⁣
● Zina Mic, hivyo unaweza kupokea na kupiga simu⠀⠀⠀⁣⁣⁣⁣
(Unaweza kuongelea nazo na simu)⠀⠀⠀⁣⁣⁣⁣
⠀⠀⁣⁣⁣⁣
●Hizi ni nyembamba na ndogo, zinakaa masikioni vizuri na hata ukikimbia au kuanguka bado utazikuta masikioni (Hazivuki /hazianguki.)⠀⁣⁣⁣⁣
⠀⠀⠀⁣⁣⁣⁣
●Zina power bank (charging case) ambayo inaweza kutumika mpaka mara 4. Hivyo unaweza kuzitumia earphones kutwa mzima.⠀⠀⠀⁣⁣⁣⁣
⠀⠀⠀⁣⁣⁣⁣
● Zinakuwa mbili kwa masikio mawili. Na pia unaweza kutumia moja kama ukitaka.⠀⁣⁣⁣⁣
⠀⠀⠀⁣⁣⁣⁣
●Zina support simu zote za Android na iPhone pamoja na vifaa vyote.⠀⠀⠀⁣⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
● Zipo rangi mbalimbali kama vile nyeupe, nyeusi, blue, pink, gray n.k⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
ZINAPATIKANA SASA KWA SH.34,000 TU. NUNUA SASA NA TUKULETEE POPOTE PALE ULIPO.⠀⠀⠀⁣⁣⁣⁣
⠀⠀⠀⁣⁣⁣⁣
=> Kwa wakazi wa Dar es salaam, tunakuletea mpaka ulipo, usafiri bure (free delivery) na utalipia ukifikishiwa bidhaa yako.⠀⠀⠀⁣⁣⁣⁣
⠀⠀⠀⁣⁣⁣⁣
=> Kwa wakazi wa mkoani tunakutumia kwa basi kwa gharama ya sh.5,000 tu.⠀⠀⠀⁣⁣⁣⁣
⠀⠀⠀⁣⁣⁣⁣
Nunua sasa na tukuletee :⠀⠀⁣⁣⁣⁣

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data