Description :
pata wireless keyboard yenye comand ya mac unayoweza kuconnect kwa bluetooth..
pia inaweza tumika kwa simu ya iphone kupitia bluetooth
zipo nyingi za kutosha wahi yako sasa urahisishe maisha
unaletewa popote ukiwa unapatikana dar