IJUE SIRI NAMNA DAWA ZA UZAZI WA MPANGO ZINAVYO ATHIRI MZUNGUKO WA HEDHI.

IJUE SIRI NAMNA DAWA ZA  UZAZI WA MPANGO ZINAVYO ATHIRI MZUNGUKO WA HEDHI. - Tanzania
  • IJUE SIRI NAMNA DAWA ZA  UZAZI WA MPANGO ZINAVYO ATHIRI MZUNGUKO WA HEDHI. - Tanzania
Description :

********Wazo la leo***

*DAWA ZA UZAZI WA MPANGO ZINAATHIRI VIPI MZUNGUKO WAKO WA HEDHI?*

Kwanza kabisa tuangalie udhibiti wa hormone katika mzunguko wa hedhi, yaani hormone zipi zinahusika na mzunguko wa hedhi na zinafanya vipi kazi.Kama inavyoonekana katika mchoro huu.

Katika ubongo kuna tezi ya *hipothalmas* inayozalisha hormone ya *Gonadotropini* hii hormone inachochea tezi ya pituitari ambayo nayo ipo kwenye ubongo kuzalisha hormone zifatazo

1.hormone chochezi ya mayai (FSH)* ambayo huchochea kukua na kupevuka kwa mayai na kuchochea mfuko wa mayai *(ovari)* kuzalisha hormone za uzazi *oestrogen na progesterone.*

2.Hormone ya lutea* ambayo huchochea kuachiliwa kwa yai kutoka kwenye mfuko wa mayai *(Ovulation).*

Baadae *estrogen na progesterone* ambazo zinakazi kubwa katika mzunguko zinapokuwa zimezalishwa kwa kiasi cha kutosha zinafanya sasa tezi ya *hipothalmus isizalishe tena Hormone ya gonadotropin* na kuzuia mzunguko mzima.

Pindi unapokaribia hedhi *estrogen na progesterone* zinashuka kiwango ili kuruhusu *Hipothalmus* izalishe tena *gonadotropin* ili mzunguko uanze tena

*JE DAWA ZA UZAZI WA MPANGO KAMA MAJIRA ,P2 NA NYINGINEZO ZINAATHIRI VIPI MZUNGUKO?*

Kwanza kabisa ile dhana kwamba zinaacha sumu si kweli,
Unapomeza mfano vidonge ndani ya *masaa 24 hadi 36* zinakuwa zimeshatolewa kabisa mwilini kupitia ini.

Sasa kwa nini mtu anaweza kukosa hedhi baada ya kuacha kutumia hizi dawa. Fuatilia hapo chini nimekuwekea maelezo

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • Never send money to "book" an item, avoid paying before seeing the it.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matching the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data