IJUE FANGASI KWA MWANAMKE, MADHARA YAKE NA TIBA

IJUE FANGASI  KWA MWANAMKE, MADHARA YAKE NA TIBA - Tanzania
  • IJUE FANGASI  KWA MWANAMKE, MADHARA YAKE NA TIBA - Tanzania
Description :

SOMO LA LEO

Ijue Fungus Ya Ukeni Na Matibabu Yake

Fungus hutokea ukeni baada ya bacteria mzuri anae itwa lactobacillus kukosa nguvu ya kupambana na Maambukizi,

Na huyo bacteria anapatikana ukeni, hata hivyo uyo bacteria lactobacillus,

huzalisha Lactic acid ( hydrogen peroxide)
Ambayo hu ballance PH kwenye uke.

Kinacho sababisha Fungus ukeni(Vaginal fungus)

⛔ Candida albicans,
Huyu ndiye kisababishi kikuu Cha fungus wa ukeni,

DALILI ZA FUNGUS UKENI

🔴 Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa

🔴 Uke kuwashaa Sanaa

🔴 Kutoka vipele sehem ya ukeni,

🔴 Kutoa maji maji ukeni

🔴 Kutoa Ute ute wenye harufu ukeni wenye rangi nyeusi au yellow,


VITU VINAVYO PELEKEA BACTERIA LACTOBACILLUS KUSHINDWA KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI

💠kutumia Mara kwa mara dawa aina ya Antibiotics

💠msongo wa mawazo

💠kuto zingatia mlo kamili hasa wale wanao kula vyakula vyenye sukari Sanaa wapo hatarin,

💠ujauzito

💠kushuka kwa Kinga ya mwili,

💠 ugonjwa wa kisukari,

💠kula vyakula vya sukarii,

💠 Hormonal imbalance,

Note
Hakikisha una tibu tatizo Lako ikiwa Bado halijawa sugu.wasiliana na Mimi Sasa Kwa msaada zaidi Kwa ushauri na matibabu.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data